Header Ads

Responsive Ads Here

IMF Na Tanzania Zajadili Malengo Ya Kufikia Uchumi Wa Kati.


unnamed
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Dkt. Tao Zhang (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Naibu Mkurugenzi wa shirika hilo Bw. Roger Nord na kushoto ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu.

A
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Dkt. Tao Zhang na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa shirika hilo Bw. Roger Nord.
A 1
Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Bw. Roger Nord (kulia) akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Dkt. Tao Zhang na kushoto ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu.
A 3
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu akifafanua jambo kwa washiriki mkutano wa kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
A 2
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Dkt. Tao Zhang (kulia) akiteta jambo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu wakati wa mkutano wa kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
A 4
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati wakiendelea na mkutano mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo

No comments