Header Ads

Responsive Ads Here

Gari lagonga na kujeruhi watu 19 New York


Gari lagonga na kuua mtu 1 na kujeruhi 19 New YorkHaki miliki ya pichaEPA
Image captionGari lagonga na kuua mtu 1 na kujeruhi 19 New York
Mtu mmoja ameuawa na wengine 19 kujeruhiwa wakati gari liliendeshwa kuenda sehemu ya kupitia watu eneo la Times Square mjini New York, Marekani.

Dereva wa gari hilo amekamatwa na eneo hilo kufungwa kwa mujibu wa idara ya polisi ya mji wa New York.
Gari hilo linaripotiwa kuruka vizuizi kwenye mtaa wa 45 katika eneo maarufu la watalii.
Picha kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha watu wakiondolewa eneo hilo.Haki miliki ya pichaEPA
Image captionPicha kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha watu wakiondolewa eneo hilo.
Picha zilionyesha gari nyekundu aina ya Honda likiwa limepinduka huku likifuja moshi
Dereva wa gari hilo mwenye umri wa miaka 26 anafanyiwa uchunguzi wa pombe.
Picha kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha watu wakiondolewa eneo hilo.Haki miliki ya pichaEPA
Image captionPicha kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha watu wakiondolewa eneo hilo.
Anaripotiwa kuwa na historia ya kuendesha gari akiwa mlevi.
Picha kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha watu wakiondolewa eneo hilo.
Picha zilionyesha gari nyekundu aina ya Honda likiwa limepinduka huku likifuja moshiHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionPicha zilionyesha gari nyekundu aina ya Honda likiwa limepinduka huku likifuja moshi
Polisi wanasema kuwa dereva alipoteza mwelekeo na huenda kisa hicho kinaonekana kuwa ajali.
Waliongeza kuwa kisa hicho hakina uhusiano na ugaidi.
Polisi wanasema kuwa dereva alipoteza mwelekeo na huenda kisa hicho kinaonekana kuwa ajali.Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionPolisi wanasema kuwa dereva alipoteza mwelekeo na huenda kisa hicho kinaonekana kuwa ajali.

No comments