Header Ads

Responsive Ads Here

CHUO KIKUU CHA KL UNIVERSITY CHA INDIA CHATANGAZA KOZI MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA CHUONI HAPO


5
Mkurugenzi Mkazi wa UniversityAbroad Representative Bw. Tonny Rodgers Kabrtha akiwatambulisha Profesa Shan Muth wa Chuo Kikuu cha KL University cha india na Anil Chanumolu Meneja wa Mahusiano ya Kimataifa wa chuo hicho wakati  walipozungumza na waandishi wa habari leo kwenye ufisi za UniversityAbroad Representative zilizopo jengo la Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kuhusu programu za masomo mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho ambapo wanafunzi kutoka mataifa mbalimbali wanasoma au wamesoma katika chuo hicho wakiwemo watanzania.

Chini kuna kipeperushi kinachoonyesha baadhi ya kozi zinazotolewa na chuo hicho unaweza kupita kidogo na kusoma ili kueoewan zaidi kozi zenyewe.
6
Profesa Shan Muth wa Chuo Kikuu cha KL University cha india akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea huduma mbalimbali muhimu zinazotolewa na chuo hicho kwa wanafunzi kushoto ni  Anil Chanumolu Meneja wa Mahusiano ya Kimataifa wa chuo hicho.
7
Anil Chanumolu Meneja wa Mahusiano ya Kimataifa wa chuo hicho akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani wakati akizungumza na wanahabari.
8
Mkurugenzi Mkazi wa UniversityAbroad Representative Bw. Tonny Rodgers Kabrtha akifafanua jambo katika mkutano huo wakati walipofanya mazungumzo na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
kozi

No comments