Header Ads

Responsive Ads Here

CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE (TAWLA) CHAFANYA MKUTANO WAKE WA MWAKA JIJINI DAR ES SALAAM


1
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania
(TAWLA) Bi. Athanasia Soka ak
fungua mkutano wa mwaka wa Chama hicho
ulioshirikisha wanachama wake ambao ni wanasheria wanawake, Mkutano huo
umefanyika leo kwenye Hoteli ya New Afrika jijini Dar es salaam na kujadili
mambo kadhaa yakiwemo mafanikio na changamoto zinazokabili chama chao
pamoja na jamii kwa ujumla wake.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES
SALAAM)

23
Kutoka kulia ni Maria Matui Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wanasheria
Tanzania ( TAWLA), Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini
Tanzania (TAWLA) Bi. Athanasia Soka, Tike Mwambipile Mkurugenzi Mtendaji wa
(TAWLA) na Lulu Ngwanakilala Mtoa mada katika mkutano huo wakifuatilia
mambo mbalimbali yaliyojadiliwa na washiriki wa mkutano
huo.
4
Mtoa mada Shamshard Remhamtulla
akizungumza katika mmkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es
salaam.
5
Kutoka kulia ni Maria Matui Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wanasheria
Tanzania ( TAWLA), Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini
Tanzania (TAWLA) Bi. Athanasia Soka, Tike Mwambipile Mkurugenzi Mtendaji wa
(TAWLA_
6
Lulu
Ngwanakilala Mtoa mada
 akizungumza jambo na washiriki wa mkutano wa Chama cha Wanasheria
wanawake wa mwaka uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
7
Mtoa Mada Madeline Kimei kulia
akijiandaa kutoa mada katika mkutano huo.
9
Maria
Matui Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wanasheria Tanzania (
TAWLA)
 akielezea baadhi ya taratibu katika mkutano huo.
10

No comments