Header Ads

Responsive Ads Here

CHADEMA YATANGAZA KUMUUNGA MKONO RAIS UHURU KENYATTA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA KENYA BAADAYE MWAKA HUU 2017CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetangaza rasmi kumuunga mkono mgombea urais wa Kenya kupitia chama tawala cha Jubilee, Rais wa sasa Uhuru Kenyatta.

Akitangaza uamuzi huo wa chama, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema leo Mei 27, 2018 kuwa Baraza Kuu la chama hicho lililoketi leo mjini Dodoma, lemeamua kwa kauli moja kumuunga mkoro Rais Kenyatta, kutokana na kukuza demokrasia ya vyama vingi nchini humo.

“ Lakini pia Rais Kenyatta ameturidhisha kutokana na sera zake za kiuchumi ambazo zimeifanya Kenya kusonga mbele kiuchumi.” Alisema Mbowe.

Kenya itafanya uchaguzi wake Mkuu mwezi Agosti mwaka huu 2018 ambapo Rais Kenyatta anatetea kiti hicho akichuana na mgombea wa upiznani, Raila Udinga.

 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akizungumza kwenye kikao hicho
No comments