Header Ads

Responsive Ads Here

BODI YA LIGI YAIPA SIMBA BARUA KUIJULISHA KUHUSU KUPOKONYWA POINTI ZA KAGERA SUGAR


Simba-VS-Kagera-Sugar-Bongosoka
Hatimaye Bodi ya Ligi Tanzania imeipelekea barua klabu ya Simba na kuipa taarifa kuwa imepokonywa rasmi Pointi tatu ilizokuwa imepewa na Kamati ya saa 72 hivyo zimerudishwa Kagera Sugar.

index

No comments