Header Ads

Responsive Ads Here

BENKI YA CBA YAZINDUA HUDUMA MPYA YA KUWAFATA WATEJA WAKE WALIPO


Mkurugenzi wa Bank ya biashara Africa CBA Gift Shoko akizungumza hivi
karibuni jijini Arusha katika hafla ya uzinduzi wa  huduma ya kuwahudumia wateja kibinafsi (private banking) kwa kuwafuata wateja wake walipo tofauti na mfumo uliozoeleka wa wateja kufuata bank(Habari Picha na Pamela Mollel blog)

 Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi CBA N.Kitomari akizungumza katika uzinduzi huo hivi karibuni jijini Arusha katika hafla ya uzinduzi wa huduma mpya kwa
wateja binafsi
(private banking) kwa kuwafuata wateja wake walipo tofauti na mfumo uliozoeleka
wa wateja kufuata bank
 
Julius Konyani Mkuu wa kitengo cha wateja binafsikatika benki ya CBA akizungumza jambo katika hafla ya uzinduzi wa hudum  mpya kwa wateja binafsi
(private banking) kwa kuwafuata wateja wake walipo tofauti na mfumo uliozoeleka
wa wateja kufuata bank
 
Mkurugenzi wa Bank ya biashara Africa CBA Gift Shoko akimkabidhi moja ya wateja wa benki hiyo zawadi
 
Huduma mpya 
ya kuwahudumia wateja kibinafsi
(private banking) kwa kuwafuata wateja wake walipo tofauti na mfumo uliozoeleka
wa wateja kufuata bank ikiwa imazinduliwa rasmi
 

Julius Konyani Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi akimkabidhi zawadi moja ya wateja wa benki hiyo katika uzinduzi wa huduma mpya  
ya kuwahudumia wateja kibinafsi
(private banking) kwa kuwafuata wateja wake walipo tofauti na mfumo uliozoeleka
wa wateja kufuata bank
 

Mkurugenzi wa Bank ya biashara Africa CBA Gift Shoko kulia akiteta jambo na  
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi CBA N.Kitomari
Kushoto ni mkuu wa kitengo ,anayeshughulikia maswala ya benki na uuzaji kwa watu binafsi,anayefatia ni Solomon Kawiche
mkuu wa kitengo cha masoko CBA,alevalia shati la kitenge ni mkuu wa kitengo cha sheria CBA ,Wapili kulia ni Julius Konyani Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi na Mussa Kitambi Mkuu wa kitengo cha mashirika na makampuni wakiwa katika picha ya pamoja
Kulia ni mkuu wa idara ya masoko kampuni ya Smile Mkoani Arusha Veronica Martine pamoja Queen Siraki wa Benki ya CBA
Waalikwa wakichukua baadhi ya matukio yaliyokuwa yakijiri katika uzinduzi huo
Waalikwa wakiwa katika nyuso za furaha
 
Wadau wakipata msosi ulioandaliwa na benki ya CBA
 
Mc maarufu jijini Arusha ambaye ndiye alikuwa mwongozaji wa shughuli hiyo ya uzinduzi akisisitiza jambo
 
Bank ya biashara Africa CBA
imeanzisha huduma ya kuwahudumia wateja kibinafsi (private banking) kwa
kuwafuata wateja wake walipo tofauti na mfumo uliozoeleka wa wateja kufuata
bank.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa
huduma hiyo hivi karibuni jijini Arusha mkurugenzi wa Bank hiyo Gift Shoko
alisema lengo la kianzisha huduma hiyo ni kutoa fursa kwa watu wote kuchangia
pato la taifa.
“Hivi sasa kuna watu wanakosa
muda wa kwenda Bank kupanga foleni kutokana na majukumu mbalimbali, hivyo
kuwepo kwa huduma hii kutawarahisishia kupata huduma bila kwenda Bank”
alisema Shoko na kuongeza
“Ni fursa kwa taasisi na
mashirika mbali mbali kuchangamkia huduma hii kwani itaambatana na kuduma kama
kupewa vyumba vya kufanyia mikutano, kupewa msaada wa kisheria, kupata matibabu

No comments