Header Ads

Responsive Ads Here

YALIYOJIRI KATIKA UZINDUZI WA TAARIFA YA UHAKIKI WA VYETI KWA WATUMISHI UMMA MJINI DODOMA


PIX1-Rais Magufuli akionyesha ripoti
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli  akiionyesha Taarifa ya Uhakiki wa Vyeti kwa watumishi wa Umma kwa wananchi waliohudh,.uria uzinduzi wa Taarifa hiyo katika ukumbi wa Chimwaga Mjini Dodoma,Kushoto kwake  ni Makamu wa Rais Mhe.Samia Hassan Suluhu na Kulia kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM)Prof.Idris Kikula.

PIX2-Rais Magufuli akipitia ripoti
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli   na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu wakifwatilia Taarifa ya Uhakiki wa Vyeti kwa watumishi wa Umma mara baada ya kuizindua katika Viwanja vya Chimwaga Mjini Dodoma leo.Kushoto kwa Makamu wa Rais ni Waziri nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene.
PIX3-Rais Magufuli akibonyeza kitufe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli ,Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa wakibonyeza kitufe kuzindua wiki ya Maandimisho ya Miaka 10 ya Chuo  kikuu cha Dodoma(UDOM).
PIX6-Wananchi wakifuatilia
Wananchi mbalimbali wakifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli wakati akipokea Taarifa ya Uhakiki wa Vyeti kwa watumishi wa Umma katika viwanja vya Chimwaga Mjini Dodoma.
PIX7-Rais Magufuli akizungumza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli   akihutubia wananchi katika Ukumbi wa Chimwaga Mjini Dodoma leo kabla ya kupokea Taarifa ya Uhakiki wa Vyeti kwa watumishi wa Umma.
PIX8-PM akizungumza
Waziri Mkuu Mhe.Kassima Majaliwa akitoa salamu kwa wananchi waliofika katika ukumbi wa Chimwaga leo Mjini Dodoma.
PIX11-Rais akipokea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli  akipokea Taarifa ya Uhakiki wa Vyeti kwa watumishi wa Umma kutoka kwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angela Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga,Mjini Dodoma.
S
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Hafla hiyo wakiwa katika ukumbi wa Chimwaga wakisubiri upokeaji wa Taarifa ya Uhakiki wa Vyeti kwa watumishi wa Umma leo Mjini Dodoma.
PIX12-Rais akizungumza na makamu wa chuo udom
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli  akizungumza jambo na Makamu wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM)Prof.Idris Kikula kabla hajapokea Taarifa ya Uhakiki wa Vyeti kwa watumishi wa Umma.
PIX13-Makamu wa Rais akizungumza
Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu akizungumza katika hafla ya upokeaji wa Taarifa ya Uhakiki wa Vyeti kwa watumishi wa Umma Mjini Dodoma leo.
PIX14-spika,pm na wizara ya elimu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai,Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa na Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof,Joyce Ndalichako wakifuatilia hotuba ya Rais wa jahuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa upokeaji wa Taarifa ya Uhakiki wa Vyeti kwa watumishi wa Umma Mjini Dodoma leo.
PIX15-Rais Magufuli akikata utepe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli, akikata utepe kuzingua Taarifa ya Uhakiki wa Vyeti kwa watumishi wa Umma Mjini Dodoma leo.Wengine pichani Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angela Kairuki na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM)Prof.Idris Kikula.
Picha zote na Daudi Manongi-MAELEZO,DODOMA

No comments