Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA SERENGETI BOYS, ZAIDI YA MILIONI 200 ZAPATIKANA


1
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi mpira uliosainiwa kwa saini yake Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano UN Tanzania Bi. Hoyce Temu mara baada ya kununua mpira huo katika harambee ya kuchangia timu ya taifa ya vijana U17 Serengeti Boys  inayotarajiwa kushiriki Michuano ya AFCON U17 nchini Gabon mwezi ujao, Harambee hiyo  ilifanyika jana jioni  kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya shilingi milioni 200 zilipatikana

2
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi jezi ya timu ya taifa mwanasheria Emmanuel Muga baada ya kununua jezi hiyo  katika harambee ya kuchangia timu ya taifa ya vijana U17 inayotarajiwa kushiriki Michuano ya AFCON U17 nchini Gabon mwezi ujao, Harambee hiyo ilifanyika jana jioni  kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya shilingi milioni 200 zilipatikana
3
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi picha ya timu ya taifa Serengeti Boys Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Bw. Geofrey Nyange Kaburu   mara baada ya kununua picha hiyo  katika harambee ya kuchangia timu ya taifa ya vijana U17 inayotarajiwa kushiriki Michuano ya AFCON U17 nchini Gabon mwezi ujao Harambee hiyo  ilifanyika jana jioni kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya shilingi milioni 200 zilipatikana
5
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Waziri wa Habari, Utamaduzi, Sanaa na Michez0 Dk. Harrison Mwakyembe  katika harambee ya kuchangia timu ya taifa ya vijana U17 inayotarajiwa kushiriki Michuano ya AFCON U17 nchini Gabon mwezi ujao Harambee hiyo ilifanyika jana jioni kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya shilingi milioni 200 zilipatikana
6
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk Harisson Mwakyembe akizunguza katika hafla hiyo.
11A
Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania TFF Bw. Jamal Malinzi akizungumza wakati wa harambee hiyo iliyofanyika jana jioni kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
12
Charles Hilarry Mmoja wa wajumbe wa kamati ya kuchangia timu ya Taifa ya Serengeti Boys akizungumza katika hafla hiyo.
13
Waziri Mkuu  Mh. Kassim Majaliwa akizungumza na wageni waalikwa mbalimbali walioshiriki katika harambee hiyo kwa ajili ya kuichangia timu ya Serengeti Boys.
7
Waziri Mkuu  Mh. Kassim Majaliwa akipiga mpira kama ishara ya kuiunga mkono timu ya Taifa Serengeti Boys ili kuleta mafanikio katika michuano hiyo inayrtarajiwa kufanyika nchini Gabon.
8
Waziri Mkuu  Mh. Kassim Majaliwa akizungumza na waalikwa mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa Harambee hiyo.
9
Waziri Mkuu  Mh. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF Bw. Jamal Malinzi.
10
Waziri Mkuu  Mh. Kassim Majaliwa  na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF Bw. Jamal Malinzi wa,iangalia picha za wachezaji wa Serengeti Boys.
11 
Waziri Mkuu  Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa masoko wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena,Bw. Seraphin Lusala
14
Waziri Mkuu  Mh. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau waliochangia timu ya Serengeti Boys.
15
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano UN Tanzania Bi. Hoyce Temu akipozi kwa picha na baadhi ya wadau.
1617
Waziri Mkuu  Mh. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya Kuchangia timu ya Taifa ya Serengeti Boys na uongozi wa TFF.

No comments