Header Ads

Responsive Ads Here

WADAU MICHAEL KESSY NA FRANSISCA WAMBURA WANG'ARA JIJINI MWANZA.

Wadau wetu wa nguvu, Bwana Michael John Kessy na Miss Fransisca Wambuwa jana April 29,2017 wameng'ara baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Roman Catholic (RC) Kirumba Jijini Mwanza.


Ndugu, jamaa na marafiki wameungana na wadau hao kwenye hafla ya kuwapongeza kwenye ukumbi wa Sun City Hotel Jijini Mwanza ambapo kama kawaida, Mshereheshaji mahiri Jijini Mwanza, Katumba Maduwa ameongoza vyema sherehe hiyo.
Binagi Media Group
Muda wa kufungua shampeni
Maharusi wakikata keki
Wasaa wa maharusi kukata keki
Kwa upendo mkubwa, maharusi wakilishana keki
Best man Simba Akida na best lady Keflen Ezekiel wakijilisha keki

No comments