Header Ads

Responsive Ads Here

Ngoma Africa band na muziki wao wametua kwa Wayaudi kutumbuiza sherehe za uhuru


UND
Habari nyeti zimevuja kuwa Ngoma Africa band aka FFU bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya yenye makao yake kule Ujerumani inatua nchini Israel kutumbuiza katika onyesho maalum la siku ya uhuru wa nchi ijulikanayo kama  Yom Haatzmaut  tarehe 1 mpaka 2 Mai 2017 mjini Tel Aviv.
Mmoja ya wanaitifaki wa maonyesho hayo Bi.Shimone amesema bendi hiyo ndio ya kwanza ya kiafrika kupata mwaliko wa kutumbuiza katika maonyesho hayo lakini hakutaka kuelezea zaidi kuhusu hilo . Habari za uhakika zinasema kuwa bendi hiyo imesafiri kimya kimya kutoka ujerumani kuelekea kwa wayaudi kwa ajili ya onyesho.

No comments