Header Ads

Responsive Ads Here

MBUNGE WA MCHINGA

Suleiman Msuya

MBUNGE wa Jimbo la Mchinga, HamiduBobaliamewasihiwananchiwajimbohilonamkoawaLindikutunzachakulapamojanakujikitakatikakilimo cha mazaoambayoyanavumiliaukameilikukabilianananjaa.

Bobali aliyasemahayokatikamikutanombalimbaliambayoalifanyahivikaribunikwenyejimbohilokatikakukaguamiradiyakijamii.
Alisemaamelazimikakutoatahadharihiyomapemakwasababuhalihalisiiliyoponchiniinaoneshakuwamwakaninjaaitakuwepo.
Mbungehuyoalisemaipotabiayawananchiambaowanajihusishanakilimonabaadaekuuzamazaoyotejamboambalolinapaswakuangaliwakwaumakiniilikutoathirikabaadae.
“NimelazimikakuwaambiahilihasanyinyiwananchiwaKitongoji cha LichinjimtunzechakulakwanihiimvuamnayoionahapahukokwenginehaiponamkumbukekuwaSerikalihaitaletachakulanamimisitawezapiakuletachakulakwawatuwote,” alisema.
Alisemaiwapokilamwananchiatatunzachakulaalichovunaniwazikuwachangamotoyanjaahaitakuwepohivyowahakikishekuwawanauzachakulakidogo.
Aidha, mbungehuyoaliwatakawananchiwamkoahuokujikitakatikakilimo cha mazaoambayoyanavumiliaukamekamamuhogo, mtamanauweleilikukabiliananachangamotoyanjaa.
Bobalialisemapamojanakujikitakatikakilimohichopianiwakatimuafakakuanzakuandaamashambayakoroshoilimsimuukianzawasitumiegharamakubwa.
“Naombamuyapemazaoyanavumiliaukamekwankinyumenahivyotunawezakuumbukanapiamsisahakuanzamaandaliziyamashambayakoroshomapema,” alisema.
Alisemazao la korosholimekuwalikipandabeikilasikuhivyomatarajioyakenikuonawananchiwengiambaowalisusamashambakurejeanakuyaandailiwawezekupamavuno.

Bobalialisemakatikahilohatarajiikuona propaganda zikipewanafasikwanilengo la wabungewotewamkoahuonikuhakikishabeiyakoroshoinazidikupandakwakasiiliwakulimawafaidike.

AkizungumzakatikamkutanohuommojawawakaziwaKitongojihicho Ibrahim Tondoroalisemaaungamkonohojayamvungenakuwatakawananchiwenzakekujikitakatikakilimochenyetija.


Tondoroalisemaniwazikuwawananchiwamekuwawakisahaunakuuzamazaohivyoangalizo la mbungelitawakuwalimeondoalawamaambazozimekuwazikitokeakila mara.

No comments