Header Ads

Responsive Ads Here

ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY A NEW HOPE EAST AFRICA- Kwa mawasiliano zaidi pitia www.etu.ac.tz au piga simu 0713449632Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba ya Afya cha Eckernforde kilichopo Kange Jijini Tanga kinavyoonekana.
Chuo Kikuu cha Tanga Eckernforde kilichopo Kange Jijini Tanga kinavyoonekana.
Ukumbi wa Mikutano wa Tarimo wa Chuo Kikuu cha Tanga Eckernforde unavyonekana kwa ndani.
Ukumbi wa Tarimo wa Chuo Kikuu cha Tanga Eckernforde unavyoonekana kwa nje.
Shule ya Sekondari ya Eckernforde iliyopo katikati ya Jiji la Tanga inavyoonekana kwa nje.
Wanafunzi wa Eckernforde English Medium Primary School wakiwa nje ya bweni lao wanamolala.
Wanafunzi wa Eckernforde English Medium Primary School wakipita mbele ya jengo la Utawala la shule hiyo.
Moja ya gari linalotoa huduma ya kuwasafirisha wanafunzi wa shule hiyo.
Wanafunzi wa Eckernforde English Medium Primary School wakiwa na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Olawrence Joshua.
Wanafunzi wa Eckernforde English Medium Primary School wakikimbia mchakamchaka wakati wakienda kwenye bweni lao
Mtaalamu wa mashine ya photo kopi wa Eckernforde English Medium Primary School, Emmanuel Mfanga akiwajibika.
Mwalimu Mkuu wa Eckernforde English Medium Primary School, Olawrence Joshua akiwajibika ofisini kwake.
Moja ya kibao cha jina la shule hiyo kinavyoweka madhari nzuri ya shule hiyo
Wanafunzi wa shule hiyo wakibembea wakati wa mapumziko katika pembea maalumu zilizopo shuleni hapo


Jengo la Makao Makuu ya Taasisi ya Eckernforde lililopo katikati ya Jiji la Tanga linavyonekana.Pia  katika jengo hilo kipo chuo cha walimu cha Eckernforde. Kazi hii imeandaliwa na www.mwaibale.blogspot.com-0712-727062. Kwa elimu bora nenda ukapate katika shule zote za taasisi ya Eckernforde kwa gharama nafuu wengi wamenufaika na shule hizo wahi sasa nafasi bado zipo. Kwa mafunzo ya ufundi magari na udereva soma tangazo hapo chini.                    TANZANIA INSTITUTE OF COMMERCE & INDUSTRIES –TANGA.
S.L.P 5032, SIMU 027- 2646144/0713 449632-TANGA.
NAFASI ZA MASOMO YA UFUNDI KWA MWAKA WA MASOMO JANUARI 2014.
Tunapokea maombi ya wanafunzi wanaotaka kujiunga na mafunzo ya ufundi kama ifuatavyo;-
1.     Ufundi magari-M/V Mechanics CBET/CBA- LEVEL-I
2.     Ufundi umeme-Electrical Installation  CBET/CBA-LEVEL-I
3.      Udereva Magari (M/V Driving) hadi kupata lesseni Class “D”.
Waombaji wawe wamehitimu darasa la saba au zaidi, malazi na chakula vinapatikana . Chuo kimesajiliwa na kipo chini ya  VETA.
Njoo ufundishwe na wakufunzi waliobobea katika taaluma ya ufundi. Chuo kina mandhari nzuri ya kusomea na kufanyia mazoezi ya vitendo, na uhakika wa kapata kazi au kujiajiri .

Kwa Mawasiliano:

Mkuu wa Chuo Chuo cha Ufundi  TICI
     S.L.P. 5032
      TANGA
     
Namba ya simu:   027 -2646144
 Simu ya Mkononi: 0716 -506019
                             0719-002264.                    TANZANIA INSTITUTE OF COMMERCE & INDUSTRIES –TANGA.
S.L.P 5032, SIMU 027- 2646144/0713 449632-TANGA.
NAFASI ZA MASOMO YA UFUNDI KWA MWAKA WA MASOMO JANUARI 2014.
Tunapokea maombi ya wanafunzi wanaotaka kujiunga na mafunzo ya ufundi kama ifuatavyo;- 

1.     Ufundi magari-M/V Mechanics CBET/CBA- LEVEL-I
2.     Ufundi umeme-Electrical Installation  CBET/CBA-LEVEL-I
3.      Udereva Magari (M/V Driving) hadi kupata lesseni Class “D”.

Waombaji wawe wamehitimu darasa la saba au zaidi, malazi na chakula vinapatikana . Chuo kimesajiliwa na kipo chini ya  VETA.

Njoo ufundishwe na wakufunzi waliobobea katika taaluma ya ufundi. Chuo kina mandhari nzuri ya kusomea na kufanyia mazoezi ya vitendo, na uhakika wa kapata kazi au kujiajiri .
Kwa Mawasiliano:

Mkuu wa Chuo Chuo cha Ufundi  TICI
  S.L.P. 5032
      TANGA
     
Namba ya simu:   027 -2646144
 Simu ya Mkononi: 0716 -506019
                               0719-002264.

6 comments:

 1. bei gani mafunzo ya udreva na computer kwa muda gani na mnamsaidiaje muhitimu katika suala la kupata kazi????¿

  ReplyDelete
  Replies
  1. dongtam
   game mu
   http://nhatroso.net/
   http://nhatroso.com/
   nhac san cuc manh
   tư vấn luật qua điện thoại
   dịch vụ thành lập công ty trọn gói
   văn phòng luật
   tổng đài tư vấn pháp luật
   thành lập công ty
   http://we-cooking.com/
   chém gió
   trung tâm ngoại ngữtrời vung hướng đại địa. Tiêu Viêm đóng chặt cả đêm hai con ngươi chậm rãi mở ra. Khóe miệng lộ ra một vòng mỉm cười, lại là một ngày mới sao?

   Ngày hôm qua tu luyện một đêm, phát hiện đấu khí trong cơ thể lại có tí ti tăng trưởng, mặc dù tốc độ tăng biên độ rất nhỏ, nhưng tóm lại là tăng trưởng, không phải sao? Chỉ cần tích lũy tháng ngày tích lũy xuống dưới, liền nhất định sẽ lấy được lớn tiến bộ.

   Từ từ đứng dậy, đưa tay ra mời lưng mỏi, một hồi tích đấy cách cách cốt cách tiếng va đập lập tức vang lên.

   "Ta bây giờ còn là tại Ma Thú sâm lâm sao?" Xem ra chỉ có tìm người hỏi một chút rồi.

   Tiêu Viêm hít thở dài, hướng hướng phương bắc đạp không mà đi.

   Đạp không đi về phía trước. Tiêu Viêm mắt nhìn xuống cái kia không ngớt vô tận sơn mạch, không ngừng nghe được theo sơn mạch bên trong truyền đến đạo đạo thú rống

   Delete