Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII, DK.HUSSEIN ALI MWINYI ALIVYOZINDUA KAMPENI YA KUNYWA DAWA KINGA TIBA ZA MAGONJWA AMBAYO YALIKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE NTDs

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Hussein Ali
Mwanyi (katikati), akimeza dawa za kinga tiba za
magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (NTDs),
kwenye siku ya kampeni ya kunywa dawa hizo i
liyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja
vya Shule ya Msingi Tabata. Kampeni hiyo ya
utoaji dawa itaendelea katika hospitali
mbalimbali na vituo vya afya hadi Juni 26,
mwaka huu. Kulia ni Mratibu wa
kupambana na magonjwa hayo Dk. Upendo
Mwingira.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kupata dawa hizo za kinga.
Wanahabari wakitafakari magonjwa ya matende na mabusha jinsi yanavyosumbua jamii.
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi huo
Wasanii wa kundi la Sanaa la Mjomba wakitoa burudani kwenye uzinduzi huo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Hussein Mwinyi akihutubia kwenye uzinduzi huo.


Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha ITV, akijaribu kukumbuka ni wananchi wa eneo gani walioadthiriwa na magonjwa hayo ili awatumie SMS wafike kupata dawa hizo haraka iwezekanavyo.
Wengi walijitokeza kupata dawa hizo.
Msanii Mrisho Mpoto alikuwa ni miongoni mwa wananchi waliojitokeza kupata dawa hizo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), naye hakuwa nyuma kupata dawa hizo.
Vijana wengi walikuwa ni miongoni mwa watu waliojitokeza kwa wingi kupata dawa hizo.

Mhariri wa Gazeti la Jambo Leo Jumapili Saidi Mwishehe naye alijitokeza kupata dawa hizo.

No comments