Header Ads

Responsive Ads Here

MAUAJI YA KUTISHA YA WATOTO YAZIDI KUFANYIKA MKOANI MBEYA MWINGINE AUAWA KINYAMA TUKUYU-MBEYA.
MTOTO HUYU MIAKA MITATU ALICHUKULIWA NA BABA YAKE KISHA BABA YAKE AKAMZIKA SEBULENI KWAKE AKIWA HAI

MWILI WA MTOTO WA MIAKA MITATU BAADA YA KUFUKULIWA SEBULENI KWA BABA YAKE LILIKUWA NI TUKIO LA KUSIKITISHA TENA LA KINYAMA

HUYU NAYE NI MTOTO AYUBU (8) AMBAYE ALITOWEKA NA MWILI WAKE KUKUTWA UKIWA HAUNA KICHWA


No comments