Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA


1-spika wa makinda akitoa maelezo 
Spika wa Bunge Anne Makinda akitoa ufafanuzi hali iliyotokea Bungeni leo bungeni .Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
2-magenbe (kusho) akiongea na john mnyika 
Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akiongea na John Mnyika (Ubungo) katika viwanja vya Bunge leo, baada ya hoja yake binafsi kukataliwa Bungeni, (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
3-Ngeleja(kulia) na Anne Kilango 
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela (kushoto) akiongea na William Ngeleja (Sengerema)katika viwanja vya Bunge baada ya Spika wa Bunge Anne Makinda (hayupo pichani) kuahirisha kikao hadi kesho,(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)
4- Ndesamburo (ku na Arfi (kulia) wakifyatilia hoja bungeniI 
Mbunge wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo (kushoto)pamoja na Said Arfi (Mpanda Mjini)wakifuatilia hoja mbalimbali Bungeni leo Dodoma. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
5--Stella Manyaya(kulia) akiongea nanHawa Ghasia 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(TAMISEMI) Hawa Ghasia (kushoto) akimsikiliza Mhandisi Stella Manyanya (Viti maalumu) kuhusu yaliojiri Bungeni leo.-(Picha na MAELEZO).
6-nw wa afya (kusho) seif Rshid akizungumza na abdalla Kigoda 
Waziri wa  Viwanda na Biashara  Dkt. Abdalla Kigoda (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Wazri wa afya na Ustawi wa  Jamii Dkt Seif Rashid katika viwanja vya  Bunge leo baada ya kuahirishwa mkutano wa kumi, kikao cha sita, (Picha Maelezo).

No comments